SIMBA WAKATAA HOTELI WALIYOANDALIWA NA TP MAZEMBE

SIMBA iwasili salama Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya mecbi yake ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya TP Mazembe ya huko, mechi itakayopigwa kesho.
Hata hivyo, Simba imegoma kukaa hoteli waliyoandaliwa na wenyeji wao kutokana na hofu ya kuhujumiwa.

Comments