SIMBA PIGO, OWINO KUTOVAA JEZI MPAKA MWISHO WA MSIMU HUU


WAKATI ikiwa katika harakati za kutetea ubingwa wake wa ligi kuu Tanzania Bara, timu ya soka ya Simba imepata pigo baada ya beki wake wa kimataifa Joseph Owino kutoweza kuichezea mpaka kumalizika kwa msimu huu.
Hiyo inatokana na maumivu ya goti aliyonayo mchezaji huyo, ambayo yatamfanya akae nje ya dimba kwa kipindi kirefu akijitibia.
Simba imebakiza mechi tano kabla ya kumalizika kwa ligi hiyo.

Comments

  1. Ndio ajali kazini hiyo, twamuombea apone haraka, kwani anahitajika sana kuliendeleza kabumbu!
    Shukurani dada Faith!

    ReplyDelete
  2. Samhani sana, nimekuita jina sio lako, mamapipiro!

    ReplyDelete

Post a Comment