SAM TIMBE ATIMKA YANGA

SAM TIMBE
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Yanga, Mganda Sam Timbe ameondoka leo kwenda kwao Uganda na anatarajiwa kurejea nchini wiki ijayo, imefahamika.
Habari kutoka Yanga zinasema kuondoka kwa kocha huyo kunatokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia nyumbani kwao hivyo hana budi kwenda kuyatatua.

Comments