POSH BECKHAM MBIONI KUMPATA SHOGAKE

MARA nyingi wanawake huwa tunawafanya watoto wetu wa kike kama mashoga zetu, hivyo basi mwanamitindo na mwanamuziki maarufu duniani Victoria 'Posh' Beckham baada ya kusotea sana kupata mtoto wa kike yeye na mumuwe mwandinga maarufu hatimaye faraja imepatikana baada ya kuvunja ukimya kwa wanandoa hao na kuweka hadharani kwamba wanatarajia kumpata mwana huyo katika kipindi cha kiangazi.
Ujio wa 'baby girl' huyo utafanya familia hiyo kufikisha watoto wanne mpaka sasa kwani nyota hao waliooana mwaka 1999, wamejaliwa kupata watoto watatu wa kiume Brooklyn (11), Romeo (8) na Cruz (5).

Comments