NCHIMBI KUBARIKI BONANZA LA WANAHABARI JUMAMOSI

AMIR MHANDO, KATIBU MKUU WA TASWA
WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Emanuel Nchimbi, anatararajiwa kuwa mgeni rasmi katika bonanza la waandishi wa habari 'Media Day' linalotarajiwa kufanyika jumosi katika ufukwe wa Coco Beach.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Amir Mhando,alisema maandalizi yanakwenda vema ambapo kutakuwac na mkichezo mbalimbali pamoja na burudani ya muziki toka bendi ya African Stars maarufu kama 'Twanga Pepeta'.

Comments