MZEE GURUMO AZIDIWA, ALAZWA MUHIMBILI



NGULI wa muziki wa dansi nchini akiimbia bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Gurumo amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Habari zilizopatikana mchana huu zinasema kuwa hali ya Nguli hioyo ilibadika jana usiku na hivyo leo kukimbizwa hospitalini hapo.

Gurumo ambaye kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji, jana alikuwa katika hali nzuri na aliweza kufanya mazoezi nabendi yake.

Tunamtakia afya njema Mzee Wetu.

Comments