MUSTAFA HASSANALI KATIKA MAANDALIZI YA ONYESHO LAKE LA MAMA MIA




MBUNIFU maarufu wa mavazi na mitindo nchini Musatafa Hassanali yupo katika maandalizi ya mwisho ya onyesho lake lililobatizwa kwa jina la MAMA MIA linalotarajiwa kufanyika Machi 4 kwenye hoteli ya Movenpick na jingine la wazi litaklalofanyika Machi 5 katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Onyesho hilo lenye lengo la kuchangia kampeni ya utepe mweupe inayiojihusisha na uzazi salama kwa wanawake, pia litaambatana na uzinduzi wa mavazi mapya yaliyotayarishwa Hassanali.

Comments