MSIBA MZITO:WASANII 13 WA KUNDI LA 5 STAR MODERN TAARAB AKIWEMO ISAA KIJOTI WAFARIKI KWA AJALI YA GARI

MAREHEMU ISSA KIJOTI ENZI ZA UHAI WAKE

NI MSIBA mzito katika tasnia ya sanaa nchini baada ya wasanii 13 wa kundi la muziki wa Taarab za 5 Star akiwemo muimbaji maarufu Issa Kijito kufariki kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia leo huko Mikumi, Morogoro.
Pamoja na vifo hivyo wasanii wengine 9 akiwemo Mwanahawa Ally msanii mwalikwa (huru) walijeruhiwa na kulazwa wodi namba 3 katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.
WALIOFARIKI NI:
Issa kijoti - mwimbaji
Husna mapande-mwimbaji
Nasoro madenge - mkurugenzi
Sheba Juma - mpiga solo
Omari hashimu- mpiga bass
Omari tall- fundi mitambo
Hamisa mussa - mwimbaji
Rama kinyoya - mwimbaji
Tizo mgunda - mcheza shoo
Haji mzaniwa - fundi mitambo
Ngeleza Hassan
Hamis Omary
Maimuna
WALIOJERUHIWA:
Mwanahawa Ally
Susan Benedict
Zena Mohammed
Samila Rajab
All Juma
Hamis
Rajab Kondo
Issa Hamis
Shab Hamis
Msafir Musa

Comments