MSANII KEYSHA APATA MTOTO WA KIUME


MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Khadija Shaban 'Keysha' amefanikiwa kupata mtoto wa kwanza wa kiume.
Hongera kwa kuwa mama, kila la heri katika makuzi ya mwanao huyo!

Comments