MASHUJAA MUSICA KUTAMBULISHA WASANII WAPYA APRILI MOSI

BENDI ya Muziki wa dansi Mashujaa Musica Wanaposoposo',Ijumaa ya Aprili mosi itafanya utambulisho rasmi wa wanamuziki waliojiunga na Bendi hiyo hivi karibuni.
Meneja wa nendi hiyo Hamis Mujibu,alisema kuwa utambulisho huo utafanyika katika ukumbi wa Makumbusho, jijini Dar es Salaam.

Comments