HEKA HEKA MTAA WA MKWEPU


JAMAA anayedaiwa kumpa mtu fedha bandia akiwa amekamatwa na askari kanzu katika mtaa wa Mkwepu asubuhi ya leo.
Kwa mujibu wa walioshuhudia inadaiwa kuwa alimbadilishia nmtu fedha ambapo ndani yake alitumbukiza na noti bandia hivyo aliyetendewa kitendo hicho aliamua kuingia mtaani na hatimaye kufanikiwa kumnasa akisaidiana na wan ausalama.

Comments