DAZ BABA KUINGIZA SOKONI DUNIA YA LEO j'3


MWANAMUZIKI nyota wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amekamilisha albamu yake mpya iitwayo Dunia ya Leo, ambayo itaangia sokoni jumatau ijayo.

Katika albamu hiyo amewashirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakiwemo Mr II, Mangwair, Dark Master, Pablo, LWP na Fatma na wengineo huku kaszi zikitayarishwa katika studio za Mj, Soundcrafters, Mandugu Digital, Bongo Records, Fish Crab, Soundcrafters na Backyards.

Vibao vilivyopo katika albamu hiyo ni Dunia ya Leo, Viwanjani, Kitu Gani, Siri ya Ghetto, Saluti, Lazima Ujue, Life Style, Wanachukia .

Comments