BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO YUPO UFILIPINO

BONDIA Francis Miyeyusho mwebnye tisheti ya njano akiwa na mratibu wa pambano lake la kimataifa dk.bonsubre na Rais wa shirikisho la masumbwi nchini PST Emmanuel Mlundwa mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhuisianmaa na pambano la Miyeyusho dhidi ya Aj Banal watakaozidunda Machi 10, Philipines.

Comments