BANKA ATOKA KIFUNGONI, HAMOUD


KIUNGO wa Simba Mohammed Simba Banka aliyekuwa nje ya kikosi hicho kutokana na utovu wa nidhamu, ameungana na wenzake waliopo mjini Arusha wakijiandaa na mechi yao ya ligi kuu dhidi ya AFC ya huko itakayopigwa kesho kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid mjini humo.

Wakati Banka akirudishwa kundini kiungo mwenzake Abdulhalim Homoud atakuwa nje ya kikosi hicho kwa wiki mbili baada ya kuumia goti katika mazoezi ya timu hiyo.

Comments