AZIM DEWJI ATAKA SIMBA IACHANE NA PHIRI

PATRICK PHIRI
ALIYWAHI kuwa mfadhili wa Simba Azim Dewji ameutaka uongozi wa klabu ya soka ya simba kuachana na kocha wake mkuu Patrick Phiri kutokana na kuondoa mara kwa mara wakati timu inakabiliwa na mechi muhimu.

Azim alisema hatua hiyo ya Phiri inaonyesha kuwa hana makini na kazi zake hivyo ameutaka uongozi kutafuta kocha atakayetulia na timu kwa kipindi chote anachotakiwa kuwa nayo.

Comments