YANGA YAKALIA USUKANI WA LIGI





USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Suagar jana, umeiwezesha Yanga kukalia usukani wa ligi Kuu Bara na hivyo kuwashusha mahasimu wao wa jadi, Simba.
Yanga ilichanua na ushindi huo kupitia mechi yao iliyopigwa katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambapo bao la Yanga lilipachikwa na mshambuliaji wake wa kimataifa Davis Mwape

Comments