YANGA BYE BYE KOMBE LA CAF


YANGA imetolewa kwenye michuano ya kimataifa na Dedebuit ya Ethiopia kwa mabao 2-0 katika mechi iliyopigwa leo kwenye dimba la Addis, Ethiopia.
MAbao hayo yanafanya Yanga kutolewa kwa jumla ya mabao 6-4 kwani katika mechi ya awali iliyopigwa nyumbani timu hizo zilitoka sare ya mabao 4-4.
Dedebit sasa itakutana na Haras El Hodoud ya Misri.

Comments