WADAU, WANASEMA HABARI GANI?????

WADAU WA MAMAPIPIRO KUTOKA KUSHOTO ASHA KIGUNDULA AKA...NAIJUA MIMI NA YEYE, SOMOE NG'ITU, NA SOPHIA ASHERY AKA MTOTO WA KISUKUMA WA UKWELI, WANASEMA HABARI GANIIIII? WEKEEND IMEKWENDA SAFI BAADA YA SIMBA KUWAVUA MAGWANDA MAAFANDE WA POLISI DOM KWA MABAO 2-0.

Comments

  1. Yaani hapo basi, siwapendi nyinyi wahandishi wote sababu ya Usimba wenu....aha, aha, aha, Somoe vipi huo ni uja uzito au?

    ReplyDelete
  2. kwa wasichana wa michezo wazuri ila ile nyanya linajishaua linajifanya nzuri si lile mrs mnaku mbani

    ReplyDelete

Post a Comment