TOP C ANAMTOA LOFA VALINTEN DAY @CLUB BILICANAS


MMOJA ya wasanii toka ya familia ya MASHAROBARO akijukana kama TOP C anatarajiwa kuzindua albamu yake ya 'LOFA' katika siku ya VALENTINE tukio litakalofanyika katika ukumbi wa club BILICANAS.

Uzinduzi huo utasindikizwa na rais wao Mr.Chocolate, pia watakuwepo wakali kama Diamond, Sam wa Ukweli, Q-Chillah, H-Baba na wengine wengi.

MCKOSEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

Comments