SIMBA WASEMA WACOMORO HAWAPITI










WACHEZAJI wa timu ya soka ya Simba wamesdema kutokana na mazoezi ya hali ya juu wanayopewa na kocha wao mkuu Patrick Phiri akisaidina na Amri Said ni wazi kwamba itakuwa ngumu kwa wapinzani wao kwenye ligi ya mabingwa Elan de Mitsoudje ya Comoro kushinda.
Timu hizo zitakipiga jumapili hii kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ikiwa ni mechi ya marudiano ambapo Simba inahitaji kushinda ili kusonga mbele.

Comments