SIMBA USO KWA USO NA TP MAZEMBE



Ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya elan de mitsoudje ya comoro umeivusha simba ktk hatua ya pili ya ligi ya mabingwa barani afrika ambapo itakutana na mabingwa watetezi Tp Mazembe ya Congo.Simba imepata ushndi huo kupitia mechi ya marudiano iliyopigwa kwenye uwanja wa uhuru.

Comments