SABODO AZAWADIWA NA WATOTO WA KITUO CHA TANZANIA SPORTS CATALYST

MFANYABIOASHARA MAARUFU MUSTAFA SABODO AKIWA NA PICHA ALIZOZAWADIWA NA WANAFUNZI WA SHULE YA TANZANIA SPORTS CATALYST (TASCA) KAMA SHUKRANI KWA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA SHULE HIYO

SABODO NA WANAFUNZI HAO MWENYE SHATI LA BLUU NI MKURUGENZI WA TASCA< SELEMAN MATHEW.
SABODO AKIZUNGUMZA MAWILI MATATU.

SABODO NA WANAHABARI TOKA VYOMBO MBALIMBALI


WANAFUNZI wanaosoma katika shule ya Tanzania Sports Catalyst (TASCA) iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wamemzawadiwa mmoja ya wafadhili wa shule hiyo, Mustafa Sabodo kutokana na jitihada zake za kuisaidia jamii ya Tanzania.
Wakizungumza katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa mfanyabiasha huyo Upanga jijini Dar es Salaam leo, wanafunzi hao walimshukuru Sabodo kwa moyo wake wa upendo uliojaa utu kwa kuipenda nchi yake kuona kwamba Elimu na maisha bora kwa kujenga shule zaidi ya 50.
Naye Sabodo ambaye ameijengea shule hiyo madarasa mawili ameahidi kutoa mchango wake ambapo amesema atajenga bweni moja, ukuta na kuwachimbia visima vya maji.

Comments