PAKISTAN YAWASILI TAYARI KUIKABILI STARS J'5

BAADHI YA WACHEZAJIWA TIMU YA TAIFA YA PAKISTAN MARA BAADA YA KUWASILI LEO TAYARI KWA MECHI YA KIRAFIKI BAINA YAO NA TAIFA STARS ITAKAYOPIGWA JUMATANO KATIKA UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM.
BAADHI YA VIONGOZI WA TIMU YA TAIFA YA PAKISTAN
MWANDISHI WETU MAKUBURI ALLY
WAKIWA WAMEPUMZIKA MAPOKEZI KWENYE HOTEL YA TANSOMA WALIPOFIKIA.

Comments