MZIMU WA PAPIC WAENDELEA KUITESA YANGA, YACHEZESHWA LIZOMBE SONGEA

KIKOSI CHA YANGA
MZIMU wa kocha mkuu wa Yanga Kostadin PApic umeendelea kuiandama Yanga baada ya jana tena kulazimisha suluhu ya biloa kufunguna na Majimaji ya Songea katika mechi iliyopigwa jana kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea.

Tangu kujiuzuklu kwa aliyekuwa PApic Yanga imeshindwa kufurukuta katika mechi zake zote hali inayotafsiriwa kuwa inaandamwa na mzimu wa Papic.

Ilianza kwa kutoka sare ya mabao 4-4 na Dedebit ya Ethiopia katika kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF), kabla ya kuja kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar.

Comments