MWANAMICHEZO BORA WA TASWA KUPATIKANA MEI 16

KATIBU MKUU WA TASWA AMIR MHANDO KULIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WAHABARI< KUSHOTO KWAKE NI KATIBU MSAIDIZI GEORGE JOHN (Picha kwa hisani ya http://www.fullshangwe.blogspot.com/)
CHAMA cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) kimepanga kumtangaza mchezaji bora wa mwaka 2010, Mei 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando, alisema kuwa hafla za utoaji wa tuzo hiyo itafanyika kwenye ukumbi wa NSSF Water Front jijini Dar es Salaam.

Comments