MH.SUGU ADAIWA CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA MAPENZI BAINA YA MWANAHARAKATI SHYROSE BHANJI NA MSANII JAFFARAY

JOSEPH MBILINYI AKA MR.SUGU -MBUNGE WA MBEYA MJINI (CHADEMA)
SHYROSE NA JAFFARAY


Muasisi wa bongo flava Mr.II a.k.a Sugu ameingia matatani baada ya kulaumiwa na msanii mwenzake Jafarai kuwa ndiye chanzo cha kuachana na demu wake Shyrose Banjhi.
Chanzo habari toka kipindi cha XXL cha clouds fm wakati mtu mzima jafarai akihojiwa na B-12 na Adam chovu,jafarai amekiri kuwepo kwa mahusiano kati ya sugu na mpenzi wake shyrose baada ya kufumania jimeseji la mahaba toka kwa mbunge huyo wa mbeya.(HABARI http://www.uniqueentertz.blogspot.com/

Comments