MAMA RAHMA AL KHAROOS, VISURA WA TANZANIA WATEMBEA HOSPITALI YA AMANA









RAIS wa RBP Oil& Industrial Technology Tanzania Limited Rahma Al Kharoos pamoja na washiriki wa shindano la kumsaka kisura wa Tanzania mwaka 2011 wametembea hospitali ya Amana na kuwapatia chakula pamoja na maji wahanga wa milipuko ya mabomu iliyotokea Gongo la Mboto jumatano usiku, pamoja na kuwafariji wagonjwa wengine ikiwemo pia kutembelea wodi ya wazazi hospitalini hapo.

Comments