LOFA KUANIKWA BILICANAS LEO



CHIPUKIZI wa muziki wea bongo fleva, Top C usiku wa leo anatarajiwa kuzindua albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la 'LOFA;, uzinduzi utakaofanyika CLUB BILICANAS.
Pamoja naye pia atasindikizwa na wakali wengine wa bongo fleva wakiwemo H-Baba, Diamond, Mr.Chocolate, Q-Chillah, Sam wa Ukweli na wengineo.

Comments