KUZIONA STARS, PALESTINA BUKU


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mechi baina ya Stars na Palestina kwa kuweka kiingilio cha chini cha sh.1,000 kwa watakaokaa viti vya kijani.

Aidha, watakaokaa VIP A watalipa sh.10,000, VIP B watalipa sh.7,000, VIP C watalipa sh.5,000, VITI vya ORANGE watalipa sh.3,000 na KIJANI watalipa sh.2,000.

Comments