JAMANI UTEJA UNAFAIDA GANI?HEBU MCHEKINI HUYU



SIO kama kichaa ama mgonjwa bali ni uteja ndio umemuathiri kijana huyo kiasi cha kumfanya aonekana kama mzee wa miaka 70 au 80.
PIa cha kusikitisha hali aliyokuwa nayo ilikuwa ni ya kusikiotisha sana kwali hapo alipo ni eneo la barabara katika mataa lakini alikuwa anasinzia.
Vijana amkebni kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya si mazuri hata kidogo.
Mungu Ibariki Tanzania.

Comments