DAKIKA 54 SASA MGOSI ANAIPATIA SIMBA BAO LA KWANZA


HABARI kutoka Dodoma zinasema kuwa Simba inaongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Polisi Dodoma ilililopatikana katika dakika ya 54 kupitia kwa Musa Mgosi, awali Mgosi alifunga bao katika kipindi cha kwanza lakini lilikataliwa.
SIMBA 1 POLISI ), MPIRA UNAENDELEAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

Comments