YANGA IPO TAYARI KUWAVAA DEDEBIT

MSEMAJI WA YANGA, LOUIS SENDEU
YANGA inayoiwakilisha Tanzania katika kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ipo tayari kwa mechi yake ya kwanza dhidi ya Dedebit ya Ethiopia, mchezo utakaopigwa jumamosi katika uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Msemaji wa Yanga, Louis Sendeu amesema kuwa wapinzani wao hao wamewasili alfajiri ya leo huku kikosi cha YAnga kikiwa katika hali nzuri ambapo wachezaji wameahidi kutoa kifua mbele.
Tiketi kwa ajili ya mechi hizo zitaanza kuzwa kesho saa nne asubuhi.

Comments