TIMU YA ATLETICO PARANAENSE YA BRAZIL YATUA NCHINI, ITACHEZA NA TIMU ZA SIMBA NA YANGA

KOCHA MKUU WA TIMU YA SOKA YA ATLETICO PARANAENSE YA BRAZIL LEANDRO NIEHUES KATI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA ZIARA YAO HAPA NCHINI, TIMU HIYO ITACHEZA NA YANGA JANUARI 18 KABLA YA JANUARI 20 KUCHEZA NA SIMBA, MECHI ZITAPIGWA KWWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.

KATIBU MKUU WA YANGA LAWRANCE MWALUSAKO KUSHOTO NA KATIBU TAWALA WA SIMBA EVODIOUS MTAWALA



MRATIBU WA ATLETICO NA MKUU WA MSAFARA ROBERTO KARAM AKIZUNGUMZA NA WAANSISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUWASILI JANA, KUSHOTO NI MKUU WA MAHUSIANO YA KIMATAIFA WA TIMU HIYO, OCYR NETO

BAADHI YA WACHEZAJI WA TIMU HIYO


BAADHI YA WACHEZAJI WAKIWA WAMEJIPUMZISHA KATIKA HOTELI YA MOVENPICK

Comments