STARS YAAGA NILE BASIN



TIMU ya soka ya Tanzania Taifa Stars imeaga michuano ya Nile Basin baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Uganda.

Awali timu hiyo ilianza micjhuano hiyo kwa kuchapwa mabao 5-1 na wenyeji Misri kabla ya kutoka sare ya bao 1-1 na Burundi.

Comments