SIMBA, YANGA SARE SARE MAUA

MAKOCHA WA SIMBA (PATRICK PHIRI) NA YANGA (KOSTADIN PAPIC)

VIGOGO vya soka nchini Simba na Yanga vemeianza michuano ya kimataifa kwa kutoka sare katika mechi zao za juzi
Yanga inayoshiriki kombe la Shirikisho la soka barani Africa (CAF) ilitoka suluhu ya mabao 4-4 na Dedebit ya Ethiopia, katika mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba, mabiongwa wa ligi kuu walikuwa ugenini nchini Comoro wakikipiga na Elan de Mitsouje ya huko ambapo walitoka sare ya 0-0.
Timu hizo zitarejeana wiki mbili zijazo.

Comments