SIMBA YAIPIGA KMKM 3-0

KIKOSI CHA SIMBA

MABINGWA wa ligi Kuu Bara timu ya Soka ya Simba imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuyibanjua KMKM kwa mabao 3-0, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Aman Visiwani Zanzibar.

Comments