SIMBA YAENDA COMORO NA MATUMAINI KIBAO


KIKOSI cha Simba kimeondoka asubuhi ya leo kwenda Comoro tayari kwa mechi yao ya awali ya ligi ya mabingwa wa Afrika dhidi ya Elan de Mitsoudje ya huko utakaopigwa jumapili.

Nahodha wa Simba, Nico Nyagawa amesema kwamba kikosi chao kimejiandaa kikamilifu na mechi hiyo hivyo wana imani watarejea na ushindi ambao utawaweka katika mazingira mazuri.

Comments