SIMBA YAAPA KUITOA NISHAI ELAN DE MITSOUDJE

KIKOSI CHA SIMBA
WAWAKILISHI wa Tanzania katika ligi ya mabingwa barani Afrika timu ya soka ya Simba imejitapa kuibuka na ushindi katika mechi yao ya awali dhidi ya Elan de Mitsoudje ya Comoro utakaopigwa kesho ugenini.

Meneja wa Simba Innocent Njovu amesema kwamba timu yao ipo katika hali nzuri huku akidai kuwa pamoja na ugumu wa mechi hiyo lakini wana uhakika wa kuibuka na ushindi.

Comments