SIMBA YAANZA NA SARE KOMBE LA MAPINDUZI

KIKOSI CHA SIMBA

WEKUNDU wa Msimbazi timu ya soka ya Simba imeanza michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar kwa kutoka Sare ya bao 1-1 dhidi ya Jamhuri ya Pemba.

Bao la Simba lilifungwa na Hillary Echessa katika mechi hiyo iliyopigwa jana usiku kwenye uwanja wa Aman Visiwani humo

Comments