SIMBA KUANZA KAMPENI MAPINDUZI CUP USIKU WA LEO

KIKOSI CHA SIMBA

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara timu ya Soka ya Simba leo usiku watashuka katika dimba la Aman Visiwani Zanzibar katika mechi yao ya kwanza ya kuwania kombe la Mapinduzi kwa kucheza na Jamhuri ya Pemba.

Comments