SIMBA B YATINGA ROBO FAINALI UHAI CUP

TIMU ya soka ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 Simba B imetinga robo fainali ya michuano ya Uhai Cup baada ya kuwagunga vijana wa African Lyon kwa mabao 4-0.
Michuano ya Uhai Cup inafanyika katika uwanja wa KArume jijini Dar es Salaam kwa kushirikisha timu za vijana wenye umri chini ya miaka 20 wa timu za ligi kuu bara.

Comments