PIGO JINGINE MSONDO NGOMA

MAREHEMU HAMIS MALICK

Mwanamziki wa bendi ya msondo ngoma Music ,Hamisi Maliki 'Super Maliki' picha ndogo amefariki Dunia alfajir ya leo.
Mwanamziki huyo aliyekuwa akiimba sauti ya kwanza amefariki katika hospital ya Anglican Malapa Dar es salaa alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na nimonia na mazishi yatafanyika kesho .
Mwanamziki huyo aliyejiunga na kundi hilo mwanzoni mwa mwaka 2010 alikuwa akiimba nyimbo za sauti ya kwanza.

Comments