PALE DOGO JANJA ANAPOWEKA MIC PEMBENI NA KUINGIA DARASANI

DOGO JANJA

MSANII wa hip hop toka kundi la Tip Top Connection Abdulaziz Chende maarufu kama Dogo Janja ameanza rasmi kupiga kitabu katika shule ya sekondari Makongo ya jijini Dar es SAlaam.
Msanii huyo mdogo kuliko wote wanaoimba muziki wa hip hop hapa nchini amesema atakuwa akiutumia vizuri muda wake kwa kujipangia ratiba yua masomo na muziki pia.
Alisema kwa sasa amepunguza pilika za muziki baada ya kukamilisha alabu yake ya kwanza inayotarajiwa kuingia sokoni mwezi Machi mwaka huu.
Kila la heri tunakutakia Dogo Janja.

Comments

  1. ni vyema, anakipaji, lkini kwa ushaur wangu elimu ni kil kitu, kikiwemo huo mziki! Weka pembeni kwanza mziki, piga shule, ukilenga fani yako, ukipata digirii ya muziki, ukitua ulaya utaheshimika sana, na soko la muziki wako litakuwa...ni maoni yangu tu

    ReplyDelete

Post a Comment