MWAPE AIKOA YANGA MAPINDUZI CUP

DAVIES MWAPE
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa klabu ya Yanga Mzambia Davies Mwape jana ailiiwezesha klabu yake kutoka sare ya 1-1 dhidhi ya Zanzibar Ocean View ya Zanzibar katika mechi ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar.Mwape alianza kwa kuifungia timu yake katika dakika ya 12 kabla ya Amour Suleiman kuaswazisha katika dakika ya 42

Comments