MAMA BISHANGA AWATAKA WASANII WA FILAMU KUJIFUNZA LUFGHA ZA KIMATAIFA

MAMA BISHANGA

MSANII wa zamani ambaye ni mmoja ya waasisi wa kundi la Mambo hayo anayekwenda kwa jina la MAma Bishanga amewataka wasanii wa tasnia ya maigizo kujifunza lugha zaidi ya moja ili kuweza kuopanua wigi wa kazi zao.
Mama Bishanga ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani katika jijin la Washngton DC amesema kwamba hata wasanii wa nchi zilizoendelea wanafahamu lugha zaidi ya moja hali inayowqafanya kukubalika nje ya mika ya bara la Ulaya.
"Hao Wanaigeria, Wahindi na wengineo pamoja na ligha zao wafahamu pia kiingereza na lugha nyingine, hivyo wasanii wa Tanzania wangeiga mfano wao", ALisema.

Comments