CHEKA AUNZA MWAKA 2011 KWA KICHEKO, AMPA KIPIGO KITAKATIFU MAUGO

CHEKA MWENYE KAPTURA NYEUPA AKIMSINDIKIZA KWA KONDE MAUGO

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Francis Cheka kutoka Morogoro amezidi kudhihirisha umahiri wake katika tasnia hiyo baada ya kumtwanga Mada Maugo katika pambano lisilo la ubingwa lililofanyika usiku wa kuamkia jana katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Kwa ushindi huo Cheka amevunja tambo za muda mrefu zilizokuwa zikitolewa na mpinzani wake Maugo.

Comments