ABDI KASSIM KUWAAGA MASHABIKI WA YANGA KESHO


NAHODHA wa Yanga Abdi Kassim kesho atawaaga rasmi mashabiki wa timu hiyo kupitia mechi baina ya Yanga na Mafunzo ya Zanzibar itakayopigwa kwenye dimba la Aman Visiwani Zanzibar.
Babbi atatumia dakika 15 kuwaaga mashabiki wa timu tayari kwa safari yake ya kucheza soka la kulipwa nchini Vietnam.

Comments

Post a Comment