YANGA YAONGEZA WAWILI WAPYA


YANGA imefanikiwa kusajili wachezaji wawili tu kati ya sita iliotarajia kuwasajili katika dirisha dogo la usajili wa wachezaji wa timu za ligi kuu bara lililofungwa jana usiku.
Yanga imewanasa mshambuliaji kutoka Kankola Blades ya Zambia Davies Musonda Mwape na Juma ZSeif Dion aliyekuwa akiichezea JKT Ruvu.

Comments