YANGA WAANZA MAZOEZI LEO

LOUIS SENDEU
BAADHI ya wachezaji wa Yanga wakiwemo wakigine jioni ya leo wameanza mazoezi ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kluu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza Januari 15 mwakani.
Msemaji wa Yanga Lous Sendeu amesema kwamba wachezaji hao watafanya mazoezi katika viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) chini ya kocha wao mkuu, Kostadin Papic.
SEndeu aliwataja wachezaji wa kigeni ambao wameshawasili nchini ni pamoja na Yaw Berko, Isaac na Ernest Boakye  (Ghana), Ivan Knezevic (Serbia) na Davies Mwape kutoka Zambia.

Comments