YANGA BILA CHUJI KWENDA ZENJI J'2

LOUIS SENDEU, MSEMAJI WA YANGA
YANGA inatarajiwa kwenda Visiwabni Zanzibar Jumapili hii kwa ajili ya kushiriki kombe la Mapinduzi ambapo siku hiyo itaanza kutupa karata yake ya kwanza kwa klucheza na Zanzibar Ocean View.

Ofisa Habari wa Yanga Louis Sendeu amesema kwamba wachezaji 22 wa timu hiyo watakwenda visiwani humo huku ikimuacha kiungo wake Athuman Idd 'Chuji' ambaye anakabiliwa na maumivu ya Nyonga.

Comments